BREAKING NEWZZ...MAJAMBAZI WAVAMIA BANK NA MABOMU MBAGALA NA KUUWA WALINZI
Benki ya Access Tawi la Mbagala Rangi Tatu kuna tukio la Ujambazi limetokea muda huu!Kwa mujibu wa polisi kanda maalum, majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na polisi na kuzidiwa nguvu
View ArticleBreaking News: Huyu Ndio Rais Mpya wa Shirikisho la Soka Duniani Fifa...
Raia wa Switzerland Gianni Infantino amechukua mahala pake Sepp Blatter kama rais wa shirikisho la soka duniani Fifa.Katibu huyo mkuu wa Fifa alipata kura 115 katika raundi ya pili ikiwa ni kura 27...
View ArticleMagazeti Ya TANZANIA Jumamosi Ya Leo Februari 27,2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleMajambazi Dar es Salaam Yavamia Benki Ya Access....Yaua Mlinzi na Kupora...
Majambazi ambao idadi yao haikufahamika wakiwa na mabomu na bunduki za kisasa jana walivamia Benki ya Access tawi la Mbagala ambako walipora viroba vya fedha, kuua mlinzi na...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleVurugu Kubwa Zaibuka Wakati wa Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam
VURUGU kubwa zimetokea wakati wa Uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam mara baada ya uchaguzi huo kuhairishwa tena kwa mara ya nne leo,huku Jeshi la Polisi likivamia ukumbi wa Karimjee na kuanza...
View ArticleRipoti Ya Polisi Kuhusu Tukio la Ujambazi Mbagala: Waliofariki Dunia ni Watu...
Ujambazi wa kutumia vifaa vya kivita umeibuka jijini Dar es Salaam, ukiwemo uliofanyika katika uporaji wa Benki ya Access juzi, ambako majambazi walitumia bunduki za kivita aina ya SMG na mabomu ya...
View ArticleUSIKU WA FINA ULIKUA WA KIPEKEE CHINI YA MC DR CHENI
Fina na Mume wake mtarajiwa Mc Dr Cheni alikua mshereheshaji wa sherehe hii akiwajibika kwa umakini kuhakikisha kila kitu kinaenda sawaFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620...
View ArticleSiri ya Shule 10 Bora Tanzania Matokeo ya Kidato Cha Nne Hadharani
“Usione vyaelea vimeundwa”, huo ni msemo wa wahenga ukimaanisha kila mafanikio yana maandalizi.Msemo huo unaendana na kilichotokea katika matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa...
View ArticleBaada ya Majambazi Kuvamia Benki ya Access Tawi la Mbagala....Polisi Waomba...
Siku moja baada ya majambazi 12 yenye silaha kuvamia tawi la benki ya Access la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuua kisha kupora Sh. milioni 20, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles...
View ArticleMadudu 14 Yabainika Vitabu vya Darasa la Kwanza...Watendaji Watatu...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imebaini kasoro 14 katika uchapaji wa vitabu 2,807,600 vya darasa la kwanza.Kutokana na ‘madudu’ hayo, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Maimuna Tarishi jana alitangaza...
View ArticlePICHA ZA PAMBANO LA CHEKA NA MSERBIA KWENYE UKUMBI WA LEADERS CLUB,CHEKA...
Bondia Mtanzania Francis Cheka (kulia) akichapana na mpinzani wake bondia kutoka nchini Serbia, Geard Ajetovic, wakati wa pambano lao la raundi 12 la ubingwa wa Mabara , uzito wa Super Midle wa WBF...
View Article