DC Paul Makonda Aagiza Walimu wa Shule za Serikali Dar es salaam Wapande...
Moja ya jambo ambalo serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi makini wa Mheshimiwa John Pombe Magufuli imelifanya kuwa kipaumbele kikubwa kwenye mipango yake ya kimaendeleo ni suala la uboreshaji wa...
View ArticleNyota ya Mbwana Samatta Yaanza Kung'aaa Ubelgiji Aipatia Timu yake Goli la...
Nyota ya Samatta imeanza kuonekana Baada ya leo kuipatia timu yake ya Genk bao lililowapa ushindi dhidi ya timu ya Brugge, Akiingia kutoka Benchi Dakika ya 77 wakati matokeo yakiwa mbili kwa mbili...
View ArticleBREAKING NEWS :KIONGOZI WA MAJAMBAZI WALIOVAMIA ACCESS BANK MBAGALA AKAMATWA
Polisi wakiamua kufanya kazi kweli wanaweza.Jana wamemtight jamaa anayeaminika kuwa kiongozi wa genge linalotikisa BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleFamilia ya marehemu Banza Stone imempoteza mama na dada wa Banza
February 29 familia ya marehemu msanii wa muziki wa dansi Ramadhani Masanja maarufu kama Banza Stone imepata BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleRufaa ya Babu Seya na Mwanaye Kuanza Kusikilizwa March 11 Mwaka Huu.
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini Arusha, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya...
View ArticleTaarifa ya Bodi ya Utalii Nchini Kupinga Taarifa Zinazosambaa Kwamba Olduvai...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imekuwa ikifuatilia kwa makini majadiliano yanayoendelea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kufuatia video iliyotumwa katika...
View ArticleSerikali Yalitaka Gazeti la DIRA Limuombe Radhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
1. Utangulizi:Gazeti la Dira ya Mtanzania, Toleo Na.404 la Februari, 29 - Machi 6, 2016 liliandika taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho "Uchafu wa Ombeni Sefue Ikulu". Taarifa hiyo, ambayo ni...
View ArticleRais Dkt. Magufuli amtumia salamu za Rambirambi, Rais Mstaafu Dkt. Kikwete...
Mzee Seleman Kikwete enzi za uhai wake
View ArticleEWURA yatangaza kushuka kwa bei ya mafuta
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema ‘kuanzia tarehe 2 Machi bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la Februari 2016.Kwa Machi...
View ArticleRay Baada ya Kukimbiza na Maji Sasa Anakimbiza Filamu ya Tajiri Mfupi!
MUONGOZAJI,mtayarishaji na mwigizaji wa filamu Vincent Kigosi ‘The Greatest’ Mzee wa Maji akiendelea kutikisa na unywaji wa maji sasa ameibuka na filamu yake kali na ya kusisimua ya Tajiri Mfupi...
View ArticleNchi Jirani ya Kenya Yashika Nafasi ya Tatu kwa Ufisadi Duniani
Shirikisha la Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi...
View ArticleMtoto wa Odinga amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge...
Mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Rosemary, amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge liko Kenya ilhali liko Tanzania. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View Article