Usiku wa Esther Ulikuwa wa kipekee chini ya Mc Dr Cheni
Bi harusi mtarajiwa Ester katika pozi Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini na mpambe wake Mc Dr Cheni akiwa na bi harusi mtarajiwa Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni...
View ArticleTAFF Imeunganisha Tasnia ya Filamu
SIKU za nyuma kulikuwa na malumbano makali kati ya shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) na kundi la Bongo Movie Unity lilokuwa likiundwa na wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood na kuleta...
View ArticleRais Magufuli Aapa Kuwatumbua MAJIPU Viongozi wa Sekretarieti ya...
WAKUU wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameazimia Rais John Magufuli awe Mwenyekiti wa jumuiya, kwa maana kwamba Tanzania iendelee mwaka mwingine kuongoza kipindi ambacho Burundi ndiyo...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCD na DVD 7,780 Bandia Zakamatwa Dar
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata CD na DVD 7,780 za muziki na filamu kutoka kwa wasambazaji mbalimbali jijini Dar es Salaam zikiwa bila stempu za kulipia kodi, jambo ambalo ni kinyume cha...
View ArticleWassira Amvaa January Makamba...... Asema Huenda Yeye ndo Alibebwa Tano Bora...
MWANASIASA mkongwe aliyekuwa waziri katika Serikali ya awamu nne, Stephen Wasira, amemshangaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, January Makamba aliposema kuwa uwajibikaji katika utawala wa...
View ArticleWAUZAJI FILAMU BONGO VILIO VYATAWALA
Wauza filamu hao na maduka yao yakiwa yamefungwa na TRA.Na Mayasa Mariwata, AMANIDAR ES SALAAM: Kufuatia agizo la Dk. Rais John Pombe Magufuli la kutaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wapitishe msako...
View ArticleBeyonce Kavua Pete ya Ndoa Aliyovalishwa na Jay Z...IS IT OVER?
Beyonce na Jay-Z wanazidi kuandamwa na taarifa za kuachana na kupeana talaka. Taaarifa hizi zimepewa nguvu na kitendo cha Beyonce kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rafiki yake Kelly Rowland...
View ArticleHivi Ndivyo Alivyopongezwa Mchezaji Mbwana Samatta Baada ya Kuipatia Timu...
WALSH (WA PILI KULIA) AKIWA NA SAMATTA PAMOJA NA WACHEZAJI WENGINE WA GENK WAKISHANGILIA USHINDI WAO DHIDI YA CLUB BRUGGE.Beki kisiki wa KRC Genk, Sandy Walsh amempongeza Mbwana Samatta kwa bao lake la...
View ArticleMeneja wa Yamoto Band Said Fella Ajipanga Kugombea Urais wa Tanzania Mwaka 2040
Meneja wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family Said Fella ‘Mkubwa Fella’ anajipanga kuogombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2040 akiwa na umri wa miaka 60.Fella ambaye pia ni...
View ArticleMagufuli Asema Mafisadi Wakimshinda Asiitwe Rais
Rais Dk. John Magufuli amesema amejitolea kuwa sadaka kwa Tanzania katika vita dhidi ya mafisadi na kwamba akishindwa kufanya hivyo, hakuna sababu ya yeye kuitwa rais.Pia amesema wote waliotumbuliwa...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticlePichaz 5 za Francis Cheka alivyopeleka mkanda wake wa ubingwa kwa waziri Nape
March 4 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye kwa pamoja na bondia mtanzania Francis Cheka walifanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wizarani na Cheka...
View ArticleMAJALIWA: MTU AKIHARIBU KAZI ASITARAJIE UHAMISHO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema watumishi wa umma wako huru kuhamia kokote wapendako lakini wahakikishe wanaenda huko wakiwa safi na kamwe mtu asiharibu kazi kazi...
View ArticleMKUU WA MAJESHI AONGOZA KUWAAGA MAOFISA MAJENERALI 16 WA JWTZ WALIOSTAAFU
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View Article